Jumanne , 9th Aug , 2022

Takribani watu 16 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari matatu, wilayani Kahama mkoani Shinyanga usiku wa kuamkia leo Agosti 9, 2022.

Moja ya gari iliyokuwepo kwenye ajali

Ajali hiyo amehusisha gari ndogo aina ya IST, basi dogo aina ya Hiace na lori.