Alhamisi , 23rd Sep , 2021

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amesema ipo sababu ya Jeshi hilo kuwa na ukaribu na viongozi wa vyama vya siasa sababu viongozi hao ni wadau muhimu katika masuala ya usalama na kusisitiza kuwa kwenye mikutano ya kisiasa ya ndani na ya nje wao wanachokizingatia ni usalama.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro,

IGP Sirro ametoa kauli hiyo hii leo Septemba 23, 2021, jijini Dodoma, wakati walipokutana na kufanya mazungumzo na Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Jaji Fransic Mutungi, kuhusu suala la mikutano ya ndani na nje ya vyama vya siasa.

Tazama video hapa