Jumatano , 24th Nov , 2021

Wananchi kutoka jamii ya wafugaji katika Kata ya Bukundi, Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu, wanalazimika kulala visimani wakitafuta maji pia mifugo nayo inahangaika kupata maji.

Wananchi kutoka jamii ya wafugaji katika Kata ya Bukundi

Pia imeelezwa kuwa mradi uliojengwa na Serikali kwa Sh. Milioni 530 hautoi maji.

Tazama video hapo chini