Jumanne , 9th Aug , 2022

Jeshi la Polisi nchini Kenya, limesisitiza wananchi nchini humo kuhakikisha wanarejea majumbani kwao mara baada ya kupiga kura na kungoja matokeo wakiwa makwao.

Wakenya wakisubiri kupiga kura

Taarifa hiyo imetolewa ikiwa Wakenya hii leo wanapiga kura kuamua ni nani aongoze kwa miaka mitano ijayo, na polisi wamesisitiza ni muhimu kwa raia kutii shera na kuiacha amani itawale katika zoezi hilo.

Jeshi la polisi limesema kwamba wakati wa kampeni baadhi ya wagombea waliwataka wananchi kubaki vituoni ili kulinda kura