Jumatatu , 27th Apr , 2015

Msanii wa muziki anayefanya miondoko ya Soul na R&B kutoka Arusha, Hisia leo hii ametoa wimbo wa project yake mpya unaoitwa 'Keep You Warm' ambao ulikuwa ukisubiriwa kwa hamu na mashabiki wake nchini.

msanii wa miondoko ya soul na RnB nchini Tanzania Hisia

Hisia ameongea na Enewz kuhusiana na wimbo huo mpya ambao hivi sasa anatarajia kuanza mchakato mzima wa kuufanyia shooting muda si mrefu kuanzia sasa.