Jumamosi , 8th Nov , 2014

Mbunifu Mitindo ya mavazi kutoka nchini Australia, Martina Ressmann pamoja na timu yake wameweka wazi kuwa, mitIndo ya mavazi ambayo wataileta katika jukwaa la Swahili Fashion Week kwa mwaka huu, itagusia zaidi wanawake.

Afrika Darndl

Martina amesema kuwa, amevutiwa kushiriki katika maonesho ya Swahili fashion Week yatakayoanza tarehe 15 mwezi ujao kutokana na umaarufu wake huku vilevile akiweka wazi kuvutiwa sana na mitindo ya mbunifu Anne Kiwia kutoka hapa nchinI.