Ijumaa , 1st Mei , 2015

Staa wa muziki Monalisa, ambaye ni moja kati ya wasanii waliochaguliwa kuwania tuzo katika vipengele tofauti kutoka tuzo kubwa za filamu Tanzania, TAFA 2015 kwa niaba ya wasanii wengine, ameweka wazi furaha yake kwa nafasi hiyo.

muigizaji maarufu wa filamu nchini Monalisa

Staa huyo kama moja ya wasanii waliofanikiwa kuchaguliwa kuwania tuzo hizo kwa mwaka huu kuingia katika kipengele zaidi ya kimoja katika tuzo hizo, amesema kuwa kwa yoyote kuweza kuingia katika tuzo hizo, ni ishara tosha kuwa kazi anayofanya inapendwa na inaeleweka.