Jumanne , 26th Oct , 2021

DC wa Instagram Mwijaku anasema ndoa ya msanii Hamisa Mobetto itafanyika mwaka 2022 na haolewi na mwanaume anayetokea bara la Africa.

Picha ya Mwijaku na Hamisa Mobetto

Mwijaku ambaye anajiita kaka wa Hamisa Mobetto anasema ndoa hiyo itafanyika bila kukusanya michango yoyote na MC atakuwa yeye mwenyewe.

Zaidi tazama hapa kwenye video.