Ijumaa , 11th Sep , 2015

Wasanii wa muziki Radio na Weasel kutoka nchini Uganda, wanatarajiwa kuongeza nguvu katika safari ya kampeni ya chama tawala cha nchi hiyo kupitia project yao inayotambulika kama “President Museveni Neera Neera Project.” itakayoanza hivi karibuni.

wasanii wa muziki wa nchini Uganda Mose Radio , weasel TV na Chameleone

Kupitia nafasi hiyo kundi hilo linatarajia kufika katika wilaya zaidi ya 80 zilizopo maeneo mbalimbali Uganda na kufanya maonesho, wakiwa sasa katika harakati za kukamilisha albam yao ili kujikita kikamilifu katika shughuli hiyo wakati itakapoanza.