Jumanne , 14th Sep , 2021

Hitmaker wa singeli ya 'mamu' Meja Kunta anasema anatamani muziki huo uimbwe kwa lugha ya kiingereza ikiwa ni hatua ya kuufikisha mbali muziki huo na kutafuta connection za nje.

Picha ya msanii Meja Kunta

"Tunatafuta connection za nje ili muziki ukue tunajiimbia sana sisi, natamani siku moja nione singeli tunaimba kwa kiingereza tu kama ni lugha watu wanajifunza, kuongea kiingereza na wazungu ni rahisi sana

Zaidi mtazame hapa kwenye video akizungumzia hilo.