Jumatano , 15th Sep , 2021

Rapper Wakazi ametoa mtazamo wake kuwa asilimia 30 ya mapato yote ya wasanii kwenda kwenye utawala italeta walakini ukizingatia hiyo inayobaki inaenda kwa wasanii wote.

Picha ya Msanii Wakazi

Hii imekuja baada ya Afisa TEHAMA wa COSOTA, Segenge James kusema kuwa wasanii wa Tanzania watapata 70% na Serikali 30% kutokana na makusanyo ya mirabaha baada ya kazi zao kuchezwa kwenye TV, Radio na maeneo mengine yanayotumia muziki kuanzia Disemba  2021.

Sikiliza Interview Full hapa