Alhamisi , 19th Mei , 2022

Kampuni mbili za mavazi Gucci na Adidas kwa kushirikiana pamoja wanakuja na bidhaa yao mpya ya mwamvuli utakaouzwa dola 1,290 sawa na Tsh milioni 3

Mwamvuli wa Gucci na Adidas

Mwamvuli huo utaingia sokoni kuanzia mwezi ujao Juni 7, na hautakua na uwezo wa kuzuia matone ya mvua wala kujikinga na jua kali kwa sababu utakua unapitisha kila kitu, na wanashauri wanunuaji wasitumie mara kwa mara wakinunua.