Ijumaa , 24th Jun , 2022

Mzee Bentan Wiwa kutoka Tunduru Ruvuma, amefunguka kumsamehe mke wake baada ya kumkata na viwembe sehemu zake za siri kutokana na wivu wa mapenzi.

Picha ya Bentan Wiwa aliyekatwa sehemu za siri na mkewe

Bentan Wiwa anasema ameacha vyombo vya sheria kufuata mkondo wake lakini kutoka moyoni amemsamehe japo hataweza kurudiana naye tena kwa sababu alitaka kutoa uhai wake.

Mengine zaidi aliyoyazungumza kuhusu tukio hilo tembelea Youtube ya East Africa Radio.