Jumatatu , 22nd Jan , 2024

Siku ya 20 tangu mwaka uanze, Tajiri namba mbili duniani mpaka sasa amepata ongezeko la utajiri wake kutokea dola Bilioni $107 mpaka kufikia dola Bilioni $117

...ambayo inatafsiriwa kuwa, pato lake kwa lisaa limoja ni sawa na dola milioni 7.99 ambayo ni zaidi ya Bilioni 19 kwa pesa ya Tanzania.

Kufikia hapo Jeff anaweza kuchangia kiasi cha dola bilioni 18.4 kwenye bajeti ya taifa na bado akabakiwa na dola bilioni 98.6. Ongezeko la utajiri wake unatajwa kuchangiwa na hisa anazomiliki kwenye kampuni ya Amazon.

Picha: alltech.news