Jumatano , 4th Sep , 2019

Kuelekea katika hatua ya 16 bora ya michuano ya Sprite Bball Kings 2019 wikiendi hii, Septemba 7 na 8, timu mbalimbali ambazo zimefuzu hatua hiyo zimeendeleza tambo.

Miongoni mwa wawakilishi waliozungumza, kulia ni timu ya Mchenga

Kwenye ziara yao katika studio ya East Africa Radio leo, wawakilishi mbalimbali wa timu hiyo wameendelea kutambiana, ikiwa zimebaki siku mbili kabla ya kivumbi cha hatua ya 16 bora kufanyika katika viwanja vya Don Bosco Oysterbay, Dar es Salaam.

Baadhi ya wawakilishi hao ambao wamezungumza leo ni nahodha wa mabingwa watetezi wa michuano hiyo msimu uliopita Mchenga Bball Stars ambaye ni Mudi alikuwa studio katika kipindi cha East Africa Breakfast pamoja na mwakilishi wa wapinzani wao Temeke Heroes kama inavyoonekana hapa chini.

Kwa upande wa mwakilishi wa Temeke Heroes aliyejitambulisha kwa jina la Tonge Masta akamjibu Mudi ambapo amesem,

Aidha, mwakilishi wa Wagalatia ambaye alifanyiwa mahojiano katika kipindi cha Supa Mix leo, alijigamba kuwa wako vizuri kuelekea mchezo wao wa Jumapili, Septemba 8 dhidi ya KG Dallas, amesema,

Ratiba nzima ya michezo ya hatua ya 16 bora wikiendi hii ni kama inavyoonekana hapa chini.