Lile kundi lilo anza kwa Kasi kubwa ya muziki wa kizazi kipya sasa limesambaratika kama utani. Imekuwa kawaida sana kwa makundi ya bongo kusambaratika kabla ya mafanikio au karibu na kupata mafanikio. Mexicana limeonekana kama kundi ambalo lilikuwa lina jaribu bali halikuwa makini na kazi na kauli zao ambazo walizitoa kupitia kipindi cha Planet Bongo cha Eatv.
Print
Comments
Next On:
EATV Shows