116 Home » Shows » The chidi beenz show
Search
NIGA J NA CHIDI BENZINO
Thursday, 22nd Sep, 2011

Kama kawaida ya wagombanao ndo wanao patana hawa ni marafiki na ni mtu na kaka yake lakini waliwahi kuletea sakatimbe la ajabu lakini kutokana na kauli isemayo kuwa Mtoto akinyea mkono haukatwi wala si utani kwani Chidi kalelewa na NIGA J kwa kipindi kirefu sana na kufanya kazi pamoja kwa muda mrefu sana kabla ya mtoko wa chidi katika sanaaa.

Print

 Comments     

Be the first to comment
You are not logged in.Login or Sign UP to comment

 Next On:

Mkali chidi  maranyingi sana anajichanganya na marafiki kitu ambacho kina mfanya azidi kupendwa na kila mtu na kuwa na mashabiki wengi zaidi

 EATV Shows

Episodes

Mkali wa hip-hop Tanzania Chidi akiwa na marafiki katika mishe za kurecord Chidi Beenz show more
Chidi Benz akiwa moja ya vituo vya Kibaha akipata mahitaji yake muhimu kabla ya kuendelea na safari yake ya masaa manne kuelekea more
Chidi Beenz akipata mahitaji ya mavazi katika duka la msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya, Chege Chigunda. more

News

Galleries