Ze Comedy
Utu unapopotea katika jamii watu wanashindwa kutimiza wajibu wao kisa mambo ya mitandao ya jamii eti wanasema kwenda na wakati
Kanjibhai
Shabani anapoamua kumwonyesha bosi wake kwamba hata yeye ni mtoto wa mjini
Magumashi
Mzee wa magumashi apata dili la kupiga kampeni za ugombea Ubunge jimbo la Chalinze