QUICK PROFILES

AWARDY RAMADHAN SAID
+

Nimezaliwa mwaka 1992 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa Kwanza katika familia ya watoto 5 nina kaka - na dada -

Ninaishi BABA MKUBWA na SHANGAZI

Mtaani kwangu najulikana kwa KUDANCE na KUIMBA

Mimi nimesoma mpaka FORM 4

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: MCHORAJI

IBRAHIM SAIDI
+

Nimezaliwa mwaka 1993 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 4 Nina kaka - na dada 1

Ninaishi TEMEKE na FAMILY

Mtaani kwangu najulikana kwa KINYOZI

Mimi nimesoma mpaka FORM 4

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: DEREVA

 

HASHIRAK EMEDY
+

Nimezaliwa mwaka 1992 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtotyo wa 1 katika familia ya watoto 3 nina kaka -  na dada 2

Ninaishi MWEMBEYANGA na FAMILY

Mtaani kwetu najulikana kwa GEGEDU

Mimi nimesoma mpaka FORM 4

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: DEREVA

IBRAHIM SUDY MLIRO
+

Nimezaliwa mwaka 1990 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 3 Nina kaka 1 na dada 1

Ninaishi na BABA na MAMA

Mtaani kwangu najulikana kwa Kuimba na Kudansi

Mimi nimesoma mpaka 4M 3 ( FORM 3)

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza kudansi) ni: Music tuu ndo Party of my Life. 

Group Videos

NUSU FAINALI - Quality Boys
 NUSU FAINALI - Quality Boys
Play Video
NUSU FAINALI - Quality Boys

Ni vijana kutoka Temeke wakijaribu kuwapagawisha majaji.

ROBO FAINALI - Quality Boys
ROBO FAINALI - Quality Boys
Play Video
ROBO FAINALI - Quality Boys

Namna hii, mpaka wakatinga nusu fainali.