Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Changamoto za Biashara mtandaoni

Alhamisi , 6th Oct , 2022

Kulingana na utafiti uliofanywa na watafiti nguli nchini umebainisha kuwa zipo changamoto nyingi Kwa Watanzania ambao wameajiriwa kupitia biashara mtandao ambao wanazidi elfu kumi yaani  (Digit economy) ikiwemo ufinyu wa malipo wanayopata, uhakika na usalama Huduma,pamoja na kukosekana Kwa

Akizindua ripoti ya utafiti iliyofanywa na watafiti ya mwaka 2022 iliyopewa jina la viwango sawa vya kazi 2022 Joseph Nganga Mkurugenzi wa Ajira kutoka Ofisi ya Waziri mkuu amesema serikali itaendelea kuweka mazingira na kutumia tafiti hizo Ili kuadaa sera na taratibu ambazo zitawasaidia watumiaji wakiwemo walioajiriwa kupitia mitandao.

"ajira ya watu elfu kumi ni wengi mno na kwa taratibu za  shirika la wafanyakazi Dunia limeweka vigezo vya mtu kupata kiwango gani Cha malipo hivyo ni Muhimu sasa utafiti huu ukazingatiwa na serikali Ili walioajiriwa kupitia mtandao wakapata malipo yanayowasthili".amesema Joseph

Awali wakiwasilisha changamoto za ubora wa Ajira na huduma mitandaoni utafiti umeonesha kuwa Kuna Tatizo kubwa la mikataba,wafanyakazi hawana bima za ajali, mawasiliano mabaya,kukosekana Kwa uwajibikaji wa Moja Kwa Moja Kwa wanafanya biashara mtandao hivyo sasa kuitaka serikali kuweka sera rafiki, taratibu ambazo zitaweka mazingira mazuri Kwa biashara hiyo kuzidi kuimarika.

Utafiti huo umeonesha zipo kampuni nyingi zikiwa zimeajiri watu wengi ambao endapo serikali haitaweka usimamizi basi watoa huduma wataweza kujipangia chochote

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava