Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

ACT - Wazalendo yavuna wenyeviti 98

Jumanne , 22nd Oct , 2019

ACT - Wazalendo yavuna wenyeviti 98.Kiongozi wa Chama cha ACT - Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, amepokea wanachama wapya 98, wa vyama vya CCM na CUF kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar Es Salaam,

walioamua kuachana na vyama vyao kwa malengo ya kuunga mkono chama hicho.

Hayo yamejiri leo Oktoba 20, 2019, wakati kiongozi huyo akiwapokea wanachama hao wapya na kusema kuwa sifa ya chama bora ni kile ambacho kina idadi kubwa ya wanasiasa na ugeni huo unaashiria ukuaji na ukomavu wa chama hicho.

''Jumla ya wenyeviti 38 wa mitaa, pamoja na wajumbe wao wametoka CUF na leo hii pia tumekabidhii kadi kwa baadhi yao, lakini pia tumekabidhi kadi kwa wenyeviti wa mitaa waliotoka chama cha CCM 52 ,wao walikuwa kwenye kura za maoni na kuna watu hawakutendewa haki, wameona kimbilio la haki ni kukimbilia ACT - Wazalendo na sisi tumewakaribisha sana'' amesema Zitto.

Aidha Zitto ametoa wito kwa vyama vya upinzani, ambavyo viko tayari kushirikiana na kuachiana wagombea kwa baadhi ya maeneo, wakutane na kuzungumza na kuweka makubaliano ya pamoja ili waweze kutimiza adhma yao ya kukiondoa cha tawala madarakani.

HABARI ZAIDI

Coaster iliyoparamia nyumba Bukoba

Tisa wanusurika kifo Kagera

Picha ya Fat Joe na Chris Brown

"Chris Brown anafaa kuwa 2Pac wa kisasa" - Fat Joe

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji