Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

CUF kupinga matokeo ya ubunge majimbo sita

Jumanne , 3rd Nov , 2015

Chama cha wananchi CUF kimesema kuwa kitakwenda mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi wa wabunge wa majimbo sita ambayo wanadai taratibu za uchaguzi zilikiukwa.

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa(kulia) akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora Mjini kwa tiketi ya CUF, Peter Mkufya

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam mgombea ubunge wa jimbo la Tabora mjini Peter Mkufya amesema kuna taratibu nyingi zilikiukwa sana hasa wakati wa kuhesabu na kufanya majumuisho ambapo idadi ha kura zilizidi idadi ya walioandikishwa toka watu 138,000 hadi 140,000.

Mkufya ameongeza kuwa kulikuwa na vituo hewa vingi na hata walipoomba fomu ya malalamiko kwa mkurugenzi Wa uchaguzi walinyimwa na kudai kuwa siku ya majumuisho saa nane usiku katibu Wa CCM Wa wilaya ya Tabora mjini aliingia kwenye chumbani cha majumuisho kinyume na utaratibu.

Kwa upande wake afisa sheria na haki za binadamu Wa CUF Mohamed Mluya amesema wana ushahidi wa majimbo sita ambayo ni Newala, Pangani, Mtwara vijijini, Mbagala, Lindi Mjini na Tabora kwamba walishinda ila wameporwa ushindi na hivyo wataenda kudai ushindi wao mahakamani.

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine