Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Hakuna mtanzania alieuawa vurugu za A.Kusini-Membe

Jumatatu , 20th Apr , 2015

Wazari wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Bernard Membe amesema mpaka sasa hakuna mtanzania aliyefariki kutokana na vurugu wanazofanyiwa raia wa kigeni nchini Afrika Kusini.

Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Bernard Membe

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, waziri Membe amesema Tanzania imesikitishwa na vurugu hizo ambazo zimeathiri maisha ya takribani watanzania 23 ambapo 22 kati yao serikali imepanga kuwarudisha nyumbani muda wowote kuanzia sasa.

Aidha waziri Membe amekiri taarifa za kuwepo kwa watanzania watatu waliofariki nchini humo ingawa amesema vifo vyao havitokani na vurugu hizo kwani kila mmoja amekufa kwa sababu yake ikiwemo uhalifu, kupigwa gerezani pamoja na kuugua.

Mh. Membe amewataka watanzania waishio nje ya nchi kujiandikisha kwenye balozi za Tanzania kwani kwa kufanya hivyo itasaidia sana serikali kutatua matatizo yao kwa njia rahisi pindi yawatokeapo.

Wakati huohuo mh.Membe amevitaka vyuo na mashule nchini kutoa elimu itakayowawezesha vijana na jamii kujiajiri pindi wamalizapo elimu zao kwani vurugu nyingi husababishwa na ukosefu wa ajira

HABARI ZAIDI

Picha ya Fat Joe na Chris Brown

"Chris Brown anafaa kuwa 2Pac wa kisasa" - Fat Joe

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030