Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Jafo aahidi kutoa kipaumbele kwa waliosoma nje

Jumamosi , 19th Sep , 2020

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo, amesema kuwa atahakikisha watanzania waliosoma nje wanapewa kipaumbele katika suala la kupata ajira serikalini.

Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo.

Jafo amesema hayo leo, Septemba, 19,2020,  wakati anahutubia katika Mahafali ya Kimataifa ya wahitimu waliosoma nje yaliyofanyika Mlimani City Jijini, Dar es salaam, ameahidi kuwapigia debe vijana hao na kuhakikisha katika nafasi walizotoa wanashughulikiwa.

"Nikuhakikishieni tutajitahidi kwa kadri tutakavyotangaza nafasi za ajira, wasomi waliosoma nje kwa ada za wazazi waliohangaika lazima watapata kipaumbele" amesema Waziri Jafo.

Aidha Jafo ameusifu utaratibu wa kuwapeleka vijana kwenda kusoma nje kuwa ni utaratibu  utaokasaidia nchi kupanda kiuchumi, "Kwa utaratibu huu kama tukijipanga vizuri kwa pamoja serikali na sekta binafsi kwa pamoja yale malengo ya nchi yetu kuzidi kupaa kiuchumi yatafikiwa".

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto