Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Kangi Lugola atakiwa kujiuzulu

Jumanne , 16th Oct , 2018

Mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA), Godbless Lema ambaye pia ni Waziri Kivuli wa Wizara ya Mambo ya Ndani amemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola kujiuzulu kutokana na matukio ya utekaji yanayojitokeza nchini ikiwemo la mfanyabiashara 'Mo Dewji'.

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola.

Akizungumza na wanahabari leo Oktoba 16, Lema amesema kuwa kitendo cha waziri Lugola kuzuia watu kuzungumzia matukio ya utekwaji wa watu yanayojitokeza kwa sasa hapaswi kufanya hivyo badala yake ni kung'atuka ili kupisha kashfa.

Lema amesema kuwa serikali inatakiwa kuviruhusu vyombo vya ulinzi vya kimataifa kuisaidia Tanzania na kuchunguza mfululizo wa matukio hayo yakiwemo ya kushambuliwa kwa Lissu na kupotea kwa mwanahabari.

"Waziri wa mambo ya ndani kakiri kwamba utekaji umekuwepo, na kuna watu wametekwa, na kuna watu wametoweka, ukiwa na hekima unang'atuka, tunaitaka serikali ifanye kila liwezekanalo mara moja kuhakikisha vyombo vya upelelezi vya kimataifa vinatupatia msaada kwenye hili haraka iwezekanavyo", amesema Lema.

Akizungumza na wanahabari Jumamosi Oktoba 13, Waziri Lugola alisema kuwa matukio ya utekwaji wa watu nchini tangu mwaka 2016 ni watu 75 walitekwa huku wengine wakipatikana wakiwa hai na wengine kutopatikana kabisa.

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava