Jalala la Wilika mkoani Tabora
Mmoja wa mashuda ambaye amekuwa na kawaida ya kuendesha shughuli zake za kuokota chupa za plastiki kila siku mapema asubuhi, amesema baada ya kufika eneo hilo alitatanishwa na aina ya mfuko mpya ambao ulionekana ukiwa umefungwa kifurushi.
Kufuatia tukio hilo Jeshi la Zimamoto mkoani humo, likawaasa wanawake kutokuwa na mioyo migumu inayopelekea hatua za wao kutupa watoto jalalani