Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Lema awatetea wahudumu wa ATCL

Ijumaa , 8th Nov , 2019

Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amelaani kauli iliyotolewa na Mbunge wa Kigoma Kusini, Hasna Mwilima, iliyokuwa ikiwakashfu wahudumu wa Ndege za ATCL kuwa hawana mvuto kwa kuwa kauli hiyo ni ya kejeli na ina mlengo wa

Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amelaani kauli iliyotolewa na Mbunge wa Kigoma Kusini, Hasna Mwilima, iliyokuwa ikiwakashfu wahudumu wa Ndege za ATCL kuwa hawana mvuto kwa kuwa kauli hiyo ni ya kejeli na ina mlengo wa kuwadhalilisha wanawake wote.

Mbunge Lema ameyasema hayo leo Novemba 8, 2019, kupitia ukurasa wake wa Twitter, ambapo ameonesha kukerwa na kauli ya Mbunge mwenzake, aliyoitoea jana Novemba 7, 2019, bungeni Dodoma.

"Kauli ya Mbunge CCM kuwa wafanyakazi wa ndege ATCL (air hostess)hawana mvuto,ni kauli chafu yenye matusi na kejeli kwa wanawake wote,mvuto unatazamwa kwa mambo mengi ikiwa zaidi nidhamu,lugha nzuri,upendo na utaalamu katika huduma, kwani Beauty is in the eye of the beholder" ameandika Lema.

Kwa mujibu wa kauli yake aliyoitoa Mbunge Mwilima, alihoji kuwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), hutumia vigezo gani kuwaajiri wahudumu wa ndege hizo.

"Nataka nitanie kidogo, hizi ndege zetu ni nzuri, zinafanya kazi nzuri lakini mle ndani tunapoajiri wale wahudumu, hebu tuangalie wahudumu ambao hata wakiitwa mle kwenye ndege akigeuka hivi hata abiria anaona kweli tunawahudumu, sijui mnatumia vigezo gani, unakuta mhudumu mfupi, hana mvuto wa kuifanya ndege yetu ionekane" alihoji Mbunge Mwilima.

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava