Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba
Lipumba amewasili mkoani humo leo, leo Januari 20, 2020 kwa ajili ya ziara ya kikazi ya kuzugumza na wananchama na viongozi wa CUF ambapo alikutana na katazo hilo la polisi.
Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi wameeleza Lipumba na wenzake hawakutoa taarifa juu ya ujio wa msafara wao wilayani humo.
Tazama video kamili hapo chini.