Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Maamuzi ya CCM dhidi ya Membe, Kinana na Makamba

Jumatano , 12th Feb , 2020

Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), imetoa siku 7 kwa kamati ya Usalama na Maadili ya chama hicho kukamilisha taarifa ya mahojiano juu ya wanachama watatu, Yusuph Makamba,Abdulrahman Kinana na Bernard Membe na kuiwasilisha katika vikao husika.

Wanachama watatu wa CCM, Bernard Membe, Abdulrahman Kinana na Yusuf Makamba.

Agizo hilo limetolewa leo Februari 12, 2020, kufuatia Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa, kilichoketi leo Jijini Dar es Salaam, kikiongozwa na Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli.

Kamati ndogo ya nidhamu na maadili ya chama hicho, ilikutana na aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe jijini Dodoma, siku ya Alhamisi ya Februari 6 na kuhojiwa kwa masaa matano.

Aidha katika mwendelezo huo huo siku ya Februari 10, 2020, Makatibu Wakuu Wastaafu wa chama hicho Yusuf Makamba na Abdulrahman Kinana, walifika katika ofisi ndogo za CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam, kuitikia wito wa Kamati Ndogo ya Usalama na Maadili inayoongozwa na Philip Mangula.
 

HABARI ZAIDI

Picha ya Fat Joe na Chris Brown

"Chris Brown anafaa kuwa 2Pac wa kisasa" - Fat Joe

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030