Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Makamba: Watanzania wakijua mchango wangu inatosha

Jumanne , 25th Feb , 2020

Mbunge wa Bumbuli na aliyewahi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira January Makamba, amesema kuwa idadi kubwa ya Watanzania wanatambua mchango wake katika suala zima la kutokomeza matumizi ya mifuko ya plastiki, hata kama viongozi wengine wasipotambua.

Mbunge wa Bumbuli, January Makamba

Hayo ameyabainisha leo Februari 25, 2020, kupitia ukurasa wake wa Twitter, wakati akimjibu mwananchi aliyehoji kauli ya Waziri wa sasa Azzan Zungu, aliyedai kuwa suala la mifuko hiyo lilisimamiwa na viongozi wa juu bila kumtaja Makamba.

"Waziri hayuko wrong ni kweli viongozi wetu hao walitusimamia kwenye suala hili, kuhusu kutambua mchango wangu, karibu Watanzania wote wameutambua na hao kwangu wanatosha, hofu yangu ni kama tutashindwa kusimamia mafanikio yaliyopatikana na mifuko ya plastiki ikarejea mitaani" ameandika Makamba.

Hivi karibuni mara baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo, Waziri Zungu alisema kuwa licha ya Serikali kupiga marufuku ya matumizi ya mifuko ya plastiki, lakini mifuko hiyo imeanza kurejea tena sokoni.
 

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava