Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Msigwa atupa 'kijembe'

Alhamisi , 16th Nov , 2017

Mbunge wa Iringa Mjini Peter Msigwa ametupa maneno yanayodaiwa kuwa ni 'kijembe' kwa wale wanaohama chama cha upinzani na kuwaambia kwamba upinzani ni kwa wanaume na si wavulana.

Msigwa ameweka 'kijembe' hicho kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii ikiwa ni siku moja tangu aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Mstaafu, Lawrence Masha kutangaza kujiondoa ndani ya chama hicho.

"Siasa za upinzani wa Tanzania ni kwa wanaume na sio kwa wavulana,  wavulana wana visingizio vingi kwa nini haliwezekani, sisi wanaume tuna sababu moja kwa nini inawezekana. Unajua nini? Tunatenda lililo sahihi," Msigwa

Viongozi mbalimbali kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo wameweka wazi kwamba kuondoka kwa Masha kwenye chama chao ni haki yake ya kidemokrasia lakini pia wamemtaka atoe sababu za kweli za kuondoka na siyo zile alizoziandika kwenye barua ya kujivua.

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava