Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mtanzania mwanamke ateuliwa kuongoza UN

Jumanne , 22nd Mei , 2018

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amemteua Mtanzania Joyce Msuya kuwa Kaimu Mkurugenzi wa program ya Mazingira ya Umoja huo, ambapo ofisi zake zipo nchini Kenya.

Joyce Msuya

Kabla ya uteuzi wake Joyce Msuya alikuwa Mshauri wa Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia kwa Asia ya Mashariki na maeneo ya Pacific huko Washington DC.

Ms. Msuya ambaye ameolewa na mama wa watoto wawili, ana elimu ngazi ya uzamili ya Sayansi ya Microbiology na Immunology kutoka chuo kikuu cha Ottawa Canada, na shahada ya Sayansi ya Biochemistry na Immunology kutoka chuo kikuu cha Strathclyde, Scotland.

Joyce Msuya atachukua nafasi ya Ibrahim Thiaw wa Mauritania ambaye alitumikia nafasi hiyo tangu mwaka 2013 na aliyekuwa Katibu Mkuu wa UN Ban Ki-moon.

HABARI ZAIDI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa January Makamba

Ziara ya Rais Samia Korea kuanza rasmi Mei 31 2024

Bw. Nazar Nicholas (katikati) akikabiziwa tuzo ya WSIS 2024

Tanzania yashinda Tuzo WSIS 2024, nchini Uswisi

Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

Hati miliki ardhi za kimila 4,450 kutolewa Mei 29

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20