Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Ndege ya Tanzania yapeleka mbuzi Dubai

Jumapili , 6th Jan , 2019

Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongela, amethibitisha kuwa ndege ya shirika la ndege Tanzania ATCL Boeing 787 Dreamliner, imebeba shehena ya nyama ya Mbuzi kutoka Mwanza kuipeleka moja kwa moja Dubai.

Picha ikionesha wakati nyama hiyo ikipakiwa.

Akiongea leo jijini Mwanza, wakati wa kupakia nyama hiyo Mongela amesema safari hiyo ina tija kwa watazanzia kutokana na bidhaa bora ambayo itakuwa inafika sokoni kwa wakati.

''Serikali imefnaikiwa kusafirisha mzigo wa kwanza wa nyama, kimsingi mzigo unaopakiwa leo hapa Mwanza unafika Dubai leoleo na hii ni biashara ya kimataifa ambayo unahitaji kufikisha bidhaa bora sokoni'', amesema Mongela.

Naye Mkurugenzi wa kampuni inayosafirisha nyama hiyo, amesema hiyo ni fursa kwa wafugaji wadogo kwani biashara hiyo ikifanikiwa itasaidia kupanua soko hivyo bei ya mifugo hiyo itapanda na kuwanufaisha wafugaji.

Safari hiyo ni ya kwanza ambapo zitafanyika safari zingine mbili na kama zitakuwa na mafanikio itaanzishwa safari ya kila siku kwaajili ya kupeleka mzigo mkubwa zaidi.
 

HABARI ZAIDI

Rais wa Iran Ebrahim Raisi

Rais wa Iran afariki kwa ajali ya Helikopta

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba,

China yaahidi kuendelea kufadhili miradi Tanzania

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12