Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

NEC yakabidhi fomu mgombea wa mwisho urais

Jumatano , 19th Aug , 2020

Ikiwa zimesalia siku Saba kufikia ukomo wa kurejesha fomu wagombea kwa nafasi ya Urais Hii leo mgombea wa nafasi hiyo kwa Tiketi ya Chama NLD bw Maisha Mapya Mchunguzi amejitokeza ofisi za Time ya Taifa ya uchaguzi NEC na kukabidhiwa fomu hiyo.

Mgombea urais kwa Tiketi ya Chama NLD bw Maisha Mapya Mchunguzi baada ya kuchukua fomu NEC

Akikabidhi fomu hizo kwa Mgombea huyo wa Urais wa Jamhuri ya Muungano Mwenyekiti wa Time yanTaifa ya uchaguzi Jaji mstaafu Semistocles Kaijage  amemtaka mgombea huyo kupitia na kuzisoma fomu hizo na kuzijaza ipasavyo kabla ya kuzirejesha kwa ajili ya uteuz.

"Ndani ya mkoba huo tumekukabidhi fomu pamoja na kitabu Cha maadili kisome kitakupa mwongozo wa ukizingatia matakwa ya Kisheria kabla ya zoezi la Uteuzi."

Awali mgombea huyo amepatiwa maelekezo ya awali kuhusu kuzunguka katika mikoa kumi ili kutafuta wadhamini Mia mbili ambao watakamilisha hesabu ya wadhamini takribani 2000 wanaotakiwa huku mgombea huyo kutoka Chama Cha NLD akielezea vipaumbele vyake kama Chama Hicho kitashika hatamu.

"Nina Imani kubwa na watanzania watakipatia nafasi Chama changu Cha NLD na sisi vipaumbele vyeti Kama Chama ni kuhusu uchumi shirikishi utakaogusa kila sekta."

Hadi kufikia Sasa kwa mujibu wa Taarifa za Time ya Taifa ya Uchaguzi Mgombea huyu kutoka NLD anakamilisha hesabu ya jumla ya vyama 17 vilivyojitokeza kugombea kwa ngazi ya Urais

HABARI ZAIDI

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90