Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Nyalandu aanza kushughulikiwa

Jumatatu , 13th Nov , 2017

Waziri wa Mali Asili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla amelitaka jeshi la Polisi na TAKUKURU kumchunguza aliyekuwa waziri wa wizara hiyo Lazaro Nyalandu, kwa kutumia madaraka yake vibaya wakati wa uongozi wake.

Kigwangalla ametoa kauli hiyo leo alipokuwa akichangia hoja ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa 2017/2018  Bungeni mjini Dodoma, na kusema kwamba wakati wa uongozi wake Lazaro Nyalandu aliikosesha serikali mapato ya bilioni 32 kwa kutosaini sheria ya tozo kwa hoteli za kitalii.

Mbali na tuhuma hizo, Waziri Kigwangalla pia amesema Lazaro Nyalandu akiwa Waziri alitumia helkopta ya mwekezaji mmoja raia wa kigeni kwenye kampeni zake mwaka 2015 wakati kampuni hiyo ilikuwa ikituhumiwa kwa ujangili.

Taarifa hiyo imekuja kipindi ambacho Lazaro Nyalandu amejiondoa CCM na kujiunga CHADEMA, na alishatoa taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuwa yataibuliwa mengi baada ya yeye kutoka CCM, na kuwataka watu wayapuuzie kwani hayana ukweli wowote.

HABARI ZAIDI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi

Wasimamizi wa uchaguzi waongezwe posho - Katambi