Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Rais Magufuli aeleza alivyoambiwa Bashiru ni CUF

Alhamisi , 25th Feb , 2021

Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Magufuli amesema wakati Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Bashiru Ally alipoanza kufuatilia mali za chama aliambiwa ni mwanachama wa Chama cha Wananchi (CUF).

Rais Magufuli na Katibu Mkuu wa CCM Bashiru Ally

Akiongea leo Jijini Dar es Salaam baada ya kuzindua jengo la Jitegemee linalomilikiwa na chama hicho ambalo limefanyiwa ukarabati, amesema hayo ni matokeo ya jitihada za Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru.

''Ufisadi ulikuwa umeshamiri, mali za chama zilikuwa zimeshaanza kuchukuliwa na watu binafsi lakini nilipomteua Dkt. Bashiru kuwa Katibu Mkuu na akaanza kuzifuatilia watu wakasema ni CUF na mimi nikasema nataka CUF wa namna hii ndani ya CCM,'' alisema Dk. Magufuli.

Rais Dk. Magufuli leo Februari 25, 2021 anaendelea na ziara yake ya siku tatu mkoani Dar es Salaam na na shughuli zingine anazofanya leo ni kuzindua soko la Kisutu Jijini Dar es Salaam kisha atahutubia wananchi katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
 
HABARI ZAIDI

Coaster iliyoparamia nyumba Bukoba

Tisa wanusurika kifo Kagera

Picha ya Fat Joe na Chris Brown

"Chris Brown anafaa kuwa 2Pac wa kisasa" - Fat Joe

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji