Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Rais Magufuli akubali kuteuliwa

Jumatatu , 8th Oct , 2018

Rais John Magufuli, amepokea rasmi taarifa ya uteuzi wa kuwa makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC),  kwa mwaka mmoja kuanzia Agosti 2018 - Agosti 2019.

Kushoto ni Katibu mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Tax na Rais Magufuli

Taarifa hiyo imekabidhiwa kwa Rais Magufuli leo Oktoba 8, 2018 na Katibu mtendaji wa Jumuiya hiyo Dkt. Stergomena Tax, ambaye amesema amekutana na Rais Magufuli ili kumpa taarifa ya uteuzi uliofanyika kupitia mkutano mkuu wa 38 wa SADC ambao ulifanya Agosti 17-18, 2018 mjini Windhoek nchini Namibia.

Taarifa ya Ikulu imeeleza kuwa kufuatia uteuzi huo sasa Rais Magufuli atakuwa ndiye Mwenyekiti wa SADC ajaye katika kipindi cha mwaka 2019/2020 ambapo atahudumu kwa mwaka mmoja kama ilivyokawaida.

Kwa upande wake Rais Magufuli ameeleza kuwa ameupokea kwa heshima kubwa uteuzi huo na yupo tayari kufanya kazi hiyo kwa kushirikiana na wenzake kwa manufaa ya nchi zilizopo kwenye jumuiya hiyo.

HABARI ZAIDI

Rose Senyagwa, Mchambuzi wa Masuala ya Hali ya Hewa kutoka TMA

Kimbunga "IALY" kinazidi kusogea Pwani ya bahari

Picha ya Diddy na Cassie enzi za mahusiano yake

Diddy aomba msamaha kumshambulia EX wake Cassie

Rais wa Iran Ebrahim Raisi

Rais wa Iran afariki kwa ajali ya Helikopta

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba,

China yaahidi kuendelea kufadhili miradi Tanzania

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu