Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Rosa Ree awataka wanawake wasiwahukumu wanaume

Alhamisi , 12th Dec , 2019

Msanii wa HipHop nchini Rosa Ree, ameibuka na kuwataka wanawake wasihukumu wanaume wote kwenye mahusiano sababu waliumizwa na mwanaume mmoja, badala yake wawape nafasi.

Msanii wa HipHop nchini Rosa Ree.

Rosa Ree ametoa kauli hiyo wakati akizungumza kwenye kipindi cha PlanetBongo cha East Africa Radio, kinachoruka kila Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 7 Mchana hadi saa 10 kamili jioni.

Rosa Ree amesema kuwa "mwanamke ukitongozwa na Mwinyi, usijekusema eti wanaume wote ni Majibwa sababu JR alikuumiza, mkubalie tu, usimuhukumu mtu sababu ya makosa ya watu wengine"

Kuhusiana na hukumu yake BASATA Rosaree amesema alilazimika kukata rufaa ili aweze kufanya sanaa kama kawaida na kwa sasa yupo kwenye uangalizi wa miezi 6

"Nilikata rufaa kwa Waziri Mwakyembe, na akanisikiliza na wamenipa uangalizi wa miezi 6, nashukuru sana, ila pia BASATA nililipishwa faini ya Milioni 2" amesema Rosaree
 

HABARI ZAIDI

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90