Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Serikali yarejesha Makontena kwa Barrick Gold

Ijumaa , 24th Jan , 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, ameiagiza Kampuni ya Barrick Gold, kuyachukua yale Makontena ya Makinikia yaliyozuiliwa bandarini ili wayauze kwa faida ya kampuni ya Twiga.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.

Hayo ameyabainisha leo Januari 24, 2020, Ikulu ya Jijini Dar es Salaama mara baada ya kushuhudia utiaji wa saini wa makubaliano ya mikataba Tisa ya Madini kati ya Serikali na Kampuni ya Barrick Gold, ambapo kwa pamoja wameingia makubaliano ya kuunda Kampuni ya Twiga itakayokuwa ikisimamia Madini.

"Yale Makontena ambayo yako bandarini, ambayo tuliyashika sasa mkatafute wabia mkayauze  kwa faida ya kampuni ya Twiga, today is a new page, is a new life" amesema Rais Magufuli.

Kwa upande wake Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi ameeleza ni kwa namna gani alikutana na ugumu na changamoto kubwa wakati wa mchakato huo na kuomba msamaha kwa chochote ambacho kitakuwa kimepungua kutokana na mikataba hiyo.

"Naomba niombe msamaha kwako na kwa Watanzania wote kwa lolote litakalokuwa limepungua, limetokana na ubinadamu wetu na muwe na uhakika, tulifanya kazi hii kwa moyo wetu wote, akili zetu zote na nguvu zetu zote" amesema Waziri Kabudi.

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine