Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

TEF yalaani kupigwa kwa wanahabari

Ijumaa , 10th Aug , 2018

Jukwaa la wahariri nchini limelaani vitendo vya kupigwa kwa waandishi wa habari vinavyofanywa na Jeshi la Polisi pindi wanapokuwa katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku.

Baadhi ya wanahabari wakiwa katika utekelezaji wa majukumu yao.

Kauli hiyo imekuja kufuatia kupigwa kwa waandishi wawili siku ya Jumatano tarehe  8, Agosti ambapo mwandishi kutoka wilayani Tarime mkoani Sita Tuma aliyekuwa akitekeleza majukumu yake wakati jeshi hilo lilipowatanya kwa silaha za moto wafuasi wa CHADEMA waliokuwa katika mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani.

Akizungumza na East Africa BreakFast ya East Africa Radio, Kaimu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Dodatus Balile amesema kuwa kitendo hicho cha kukamatwa kwa mwandishi na kushikiliwa wakati akiwa kazini si sahihi na taratibu za mamlaka haziruhusu vitendo dhidi ya wanahabari.

Mwandishi amekamatwa akiwa kwenye eneo la kazi wala hakufika pale kwaajili ya kuandamana kama walivyodai wao, kama wao walivyokuwa kazini hata sisi tunakuwa kazini”, amesema Balile.

Tarehe 8, Agosti Jeshi la polisi , wilayani Tarime mkoani Mara, liliwashikilia Mbunge wa Tarime Mjini Esther Matiko, mwandishi wa habari, pamoja na mara baada ya kuamuru wanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), kusitisha kampeni za uchaguzi mdogo zinazoendelea nchini.

Sanjari na hayo Shirikisho la soka nchini (TFF) pia limealaani kitendo cha mwandishi wa habari za michezo kupigwa na maaskari waliokuwa uwanjani hapo wakati akitekeleza majukumu yake siku ya sherehe za Simba Day, ambapo Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amewataka TFF  kuweka utaratibu mzuri kwa waandishi wa habari kuweza kufanya kazi zao vyema wanapokuwa uwanjani bila kusuguana na vyombo vya ulinzi.

HABARI ZAIDI

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90