Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Uhuru atoa wiki 2 mahindi mpakani yaingie Kenya

Jumatano , 5th Mei , 2021

Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta ametoa wiki mbili kwa ajili ya kushughulikiwa tatizo la mrundikano wa mahindi  katika eneo la mpakani ili biashara ziendelee kama awali.

Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta

Rais Uhuru ametoa wiki mbili hizo leo wakati akiongea katika mkutano wa wafanyabiashara wa Kenya na Uganda, uliofanyika leo, ambapo ameainisha masuala mawili ambayo anataka yafanyiwe kazi kabla ya mawaziri wa nchi hizo mbili kukutana kwa ajili ya kutatua changamoto za kibiashara zilizopo baina yao.

“Mimi nitaje mambo mawili nayotaka yatendeke na hii ninataka yafanyike wiki hii na wiki ijayo, kwanza ni mawaziri ambao wanahusika muende mtatue msongamano ambao upo Taveta , Holili,  na pale Namanga magari yaweze kutembea, kama ni certificate za covid- 19 mawaziri wa afya wajue namna ya kufanya certificate ikitolewa Tanzania iwe sawa na aingie Kenya na vinginevyo” amesema Rais Kenyatta

Rais Uhuru ameongeza, “Pili ni mahindi ambayo yamelala mpakani, waziri mimi nakupatia wiki mbili mahindi yote yawe yamefunguliwa na maneno yaishe kwasababu hatutaki kuumiza watu wetu,” 

Awali akiongea kwenye mkutano huo Rais Kenyatta amewataka wawekezaji watanzania kuwa na uhuru  kuwekeza nchini Kenya  bila kusumbuliwa na masuala ya visa  wala vibali vya kazi ila wanao wajibu wa kufuata sheria na kanuni zilizowekwa.

 

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava