Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi
1. Salama Mbarouk Khatibu - Mkoa wa Kaskazini Pemba
2. Rashid Hadid Rashid - Mkoa wa Kusini Unguja
3. Ayoub Mohamed Mahmoud - Mkoa wa Kaskazini Unguja
4. Isrisa Kitwana Mustafa - Mkoa wa Mjini Magharibi
5. Mattar Zahor Masoud - Mkoa wa Kusini Pemba
Uteuzi huo umeanza leo Desemba 1, 2020.
Taarifa ya Ikulu Zanzibar
Tazama Video ya mikoa hiyo hapo chini