Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

''Wazazi tunzeni silaha vizuri'' - RPC Shana

Jumatatu , 19th Aug , 2019

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Jonathan Shana,  amezitaka Taasisi na watu binafsi wanaomiliki silaha,  kuzitunza sehemu sahihi ili kuepusha madhara ambayo yanaweza kutokea endapo zitachukuliwa ama kuibiwa na kutumika vibaya.

RPC Arusha Jonathan Shana.

Kamanda Shana ameyabainisha hayo mara baada ya kijana mwenye umri wa miaka 19 Faisal Ibrahim, Mkazi wa Soko Kuu la Arusha, kujiua kwa kujipiga na risasi kichwani  katika paji lake la uso kwa kutumia bunduki aina ya Rifle Wichester inayomilikiwa na Baba yake.

Kijana huyo mwenye asili ya Kihindi alijipiga risasi hiyo majira ya saa 05:00 afajiri ya Agosti 18, huku chanzo cha tukio hilo kikielezwa kuwa ni msongo wa mawazo uliotokana na matumizi ya madawa ya kulevya.

Mwili wa kijana huyo umehifadhiwa katika hospitali ya Mount Meru kwa uchunguzi zaidi.
 
HABARI ZAIDI

Coaster iliyoparamia nyumba Bukoba

Tisa wanusurika kifo Kagera

Picha ya Fat Joe na Chris Brown

"Chris Brown anafaa kuwa 2Pac wa kisasa" - Fat Joe

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji