Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Waziri ang'aka Mamilioni kutumika kulisha wafungwa

Alhamisi , 13th Feb , 2020

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni, amelitaka Jeshi la Magereza mkoani Arusha, kujitahmini na kujirekebisha baada ya kuzalisha kiasi kidogo cha mahindi na maharage, hali inayopelekea Serikali kuendelea kutumia kiasi kikubwa cha fedha kununua chakula cha wafungwa.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hmad Masauni

Masauni ameyasema hayo alipotembelea Gereza Kuu la Arusha, ambalo ni moja kati ya Magereza kumi ya kimkakati nchini, yaliyoteuliwa kutekeleza agizo la Rais Dkt John Magufuli la kutaka jeshi hilo lijitegemee kwa chakula kwa kutumia nguvu kazi ya wafungwa na ardhi waliyonayo badala ya kutegemea bajeti kutoka serikalini.

"Gharama za kununua magunia 3,500 ya Mahindi na Maharage, utakuwa unahitaji zaidi ya milioni 840 fedha ambazo zinaweza kutumika kulisha wafungwa, hoja ya ukame sioni kama ni ya msingi, wakati kuna mifumo ya umwagiliaji ambayo gharama zake hazizidi milioni 326, kwahiyo mmeshindwa kutumia milioni 326 kwa mara moja ili kuokoa milioni 840 kwa kila mwaka" amesema Waziri Masauni.

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava