Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Waziri awaomba radhi wananchi, kuchelewa kwa mradi

Jumamosi , 15th Aug , 2020

Naibu Waziri wa Maji, Juma Aweso amewaomba radhi wakazi wa Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita baada ya mradi wa maji wa Nyamtukuza unaojengwa kwa miaka sita bila kukamilika hali inayopelekea wananchi wilayani humo kutumia maji yasiyo salama.

Naibu Waziri wa Maji, Juma Aweso

Mhe. Aweso amesema hayo mara baada ya kupokea taarifa ya hali ya upatikanaji wa maji mkoani Geita akiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua miradi ya maji wilayani Chato.

"Mhe Mkuu wa Mkoa mim naomba niwaombe radhi wana Nyang'wale kwa hiki kilichotokea, lazima tubanane sisi wenyewe kuhakikisha maji yanapatikana na lazima maji yafike Nyang'wale", Amesema Naibu Waziri Aweso.

Kwa upande wake Kaimu  Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini RUWASA, Mhandisi Nicas Ligomba ameelezea sababu zilizosababisha mradi huo kusuasua kwa miaka mingi kuwa ni kutokana na uwezo mdogo wa mitaji.

Mara baada ya kupokea taarifa hiyo, Naibu Waziri Aweso alifika wilayani Chato na kukagua mradi mkubwa wa maji wa Inchwakima Imalabupina ambao kwa sasa unahudumia wakazi wapatao 14,131.

HABARI ZAIDI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba,

China yaahidi kuendelea kufadhili miradi Tanzania

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali