Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

AliKiba ataja siri kubwa kuhusu sauti yake

Ijumaa , 29th Nov , 2019

Msanii wa Muziki wa BongoFleva nchini, Ali Kiba, amesema kuwa nidhamu aliyonayo ndiyo sababu kubwa inayomfanya hadi sasa, kuendelea kuimba nyimbo nzuri zenye kukonga nyoyo kwa mashabiki zake.

Msanii wa Muziki wa BongoFleva nchini, Ali Kiba.

Ali Kiba ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Wanafunzi wa Chuo cha Uhazili kilichopo mkoani Tabora, hafla ambayo iliyohudhuriwa na Mkuu wa Mkoa huo, Aggrey Mwanri.

"Maisha ya shuleni ni tofauti na mtaani, Shule unafundishwa, mtaani ni kutenda, mtaani muhimu ni nidhamu ili ufanikiwe unachotaka, hata mimi nimefanikiwa sababu ya nidhamu, nidhamu ndiyo imesababisha sauti yangu iimbe vizuri mpaka leo"amesema Ali Kiba.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa huo Aggrey Mwanri amesema "Niwaambie nyinyi wasomi Ali Kiba ni hazina kubwa ya Taifa, nyinyi mnabahati sana kuwa na mtu kama yeye sasa hivi"

Ali Kiba kwa sasa yuko mkoani Tabora, ambapo kesho Novemba 30, 2019, anatarajia kufanya Tamasha maalumu ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya #AliKibaUnforgettableTour.

 

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava