Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Alikiba 'achafua' hali ya hewa

Jumatano , 15th Aug , 2018

Msanii wa BongoFleva mwenye 'hit song' ya 'Mvumo wa Radi', Alikiba amewaacha njia panda mashabiki zake baada ya yeye kuweka picha mfululizo kwa siku moja katika mtandao wake wa Instagram, jambo ambalo limewafanya kufikiri kuwa ni ujio wake mpya wa kutoa wimbo baada ya kukaa kimya kirefu.

msanii Alikiba

Muda mchache kupita baada ya kuwekwa picha hizo, mashabiki hao walimiminika katika picha hizo na kuanza kutoa maoni yao binafsi mbalimbali, huku wengine wakijaribu kumshauri kwa namna moja ama nyingine juu ya sanaa yake.

Miongoni mwa ujumbe zilizokuwa zikitawala chini ya picha hizo ni pamoja na;

"Naziona dalili zote za wimbo mpya yakufungia mwaka", ameandika barrish_holictz.

"The king always is different with other people kimawazo kifikra pia hata kwenye kufanya mambo yake. Huwa halazimishi kabisa kufanana na wengine 'like that guy'. Yani ni mtu makini sana na hana ushindani kwenye 'game' maana anaamini kipaji chake, wanao toa nyimbo 100 na yeye wimbo moja halafu wewe uliotoa moja inakua homa ya jiji kuliko waliotoa nyimbo 100", ameandika chii_beiby_quetface.

"Kwa mapicha picha haya bila shaka 'new hit is coming", ameandika prince_blessed

"Achia dude mzee baba", ameandika officialgerard_hero

"Nasikia harufu ya ngoma mpya", ameandika officia_topdenny251

Hii si mara ya kwanza kwa Alikiba kutumia njia ya aina hiyo kuweka 'attention' kwa watu kwani itakumbukwa mnamo mwezi Agosti mwaka 2017, alifanya vitu kama hivyo alipokuwa kwenye show yake mjini New York nchini Marekani na baada ya kupita siku kadhaa alitoa wimbo wake wa 'Seduce Me' ambao hadi sasa umetazamwa na takribani watu milioni 9.94 kupitia akaunti yake ya 'Youtube'.

Kwa upande mwingine, Alikiba siku ya Ijumaa anatarajia kufanya show katika mji wa Toronto nchini Canada ambapo atakuwa na wasanii wengine kama Yemi Alade, Falz the Bahd Guy, Sheebah, Dj Spinall, Zahara, Nonso Amadi pamoja na Nsoki.

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava