Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Amber Lulu sasa kutoa ajira rasmi

Jumatatu , 29th Mei , 2017

Msanii wa bongo fleva mwenye 'hit song' ya 'Watakoma' Amber Lulu amefunguka kwa kusema sasa hivi hatajishughulisha tena na masuala ya 'video queen' na badala yake atafungua kufungua kampuni yake ya 'video vixen' hivi karibuni.

Msanii Amber Lulu

Amber Lulu amebainisha hayo baada ya kusumbuliwa na wasanii wengi katika simu wakimuhitaji aende kuwafanya kazi yake aliyokuwa anaifanya hapo awali ya unenguaji katika muziki kabla ya kuamua kuingia rasmi katika kuimba huku wengine wakimtaka awatafutie warembo kwa ajili ya kazi hiyo.

"Mimi sifanyi hivyo vitu tena, mimi sasa hivi ni msanii kwa hiyo siwezi kurudi nyuma, sasa hivi natakiwa niwaite ma-video vixen ambao watakuwa kwenye ngoma zangu. Mimi ni boss wa ma- video queen na soon nafungua kampuni yangu ambayo itakuwa inajishughulisha na warembo na wapo tayari wakali 10" alisema Amber Lulu.

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava