Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Anachojivunia Young Dee baada ya kurudi Marekani

Jumatatu , 18th Nov , 2019

Rapa Young Dee amesema hajaenda Marekani kwa ajili ya kula bata na kuiga swaga na "Lifestyle"  ya kule, bali kilichompeleka kule ni kwenda kuwatangazia watu  kuhusu sifa zilizopo Tanzania ambapo mataifa mengine hawana.

Rapa Young Dee

Kupitia EATV & EA Radio Digital Young Dee amesema anajivunia kuwa mtanzania na kupeleka sifa za Tanzania duniani na kuwaambia kama taifa letu lina amani na halijawahi kumwaga damu.

"Hakuna cha ku-copy Marekani labda nilichokipeleka kutoka Tanzania, Mimi ni m'bongo ambaye nimetokea Dar Es Salaam na kila kitu ambacho tunacho ni baraka, ambazo sehemu zingine za duniani hawana, nilikuwa na kila sababu ya kujivunia kwamba nimetoka sehemu yenye vitu vyote hivi vizuri na kuvipeleka duniani" ameeleza Young Dee.

"Ni vingi sana kama kuwaambia watu kwamba hatujawahi kumwaga damu, kupata uhuru, watu walivyokuwa wakarimu, jinsi ambavyo tuna upendo, naweza kusema nina kila sababu ya kujivunia ya kuwa mtanzania niliyepata nafasi ya kwenda taifa jingine la watu ambao hawako kama sisi" ameongeza.

Ikumbukwe tu rapa Young Dee alikaa nchini Marekani kwa muda wa miezi 6 na sasa amerudi Tanzania na amechia wimbo mpya wa uitwao Jaji mento ambao amewashirikisha Mr Blue na Jay Moe.

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava