Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Linex ashukuru kuachwa na mpenzi wake

Alhamisi , 30th Jan , 2020

Msanii Linex Sunday Mjeda, amemshukuru mpenzi wake wa zamani aliyeamua kumuacha, hadi ikapelekea kuandika wimbo wa Mama Halima, ambao ulifanya vizuri kipindi cha nyuma.

Akiiambia Planet Bongo ya East Africa Radio, Linex amesema asingeachwa na mwanamke huyo asingejua hatma yake leo hii angekuwa wapi.

"Popote ulipo Halima nakushukuru sana kwa sababu kunitupa kwako kulisababisha niandike wimbo mzuri ambao utafanya uishi milele, hata kesho nikiwa sipo watu watasikiliza, nakubaliana na kuniacha kwako, sio lazima kila mtu awe adui yako na asingeniacha sijui leo hii ningekuwa wapi mimi, ahsante mama" ameeleza Linex.

Aidha Linex amewataka wanawake kuacha tabia ya kuwaita wanaume wasiowajua jina la kaka, kama sio ndugu zao kwa sababu muda mwingine huwa wanajizibia riziki za kupata wachumba.

"Wanawake waache kutuita wanaume Kaka zao kama sio ndugu zao, muda mwingine mnazuia ridhiki  bure tu,  kwa mfano mimi natokea Kigoma utakuta mwanamke wa Moshi ananiita Kaka, je kama nataka nijiongeze kwake itakuaje" amesema Linex

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava